Thursday, October 20

C.P.U. Launch coming up in for TZ film fanatics

C.P.U. The film. Sauda Simba, who plays the lead character, Maria Isabella in C.P.U., says "I'm really excited to be part of a project that is dedicated to a high quality -- It is definitely a production that will raise the bar in the industry across Africa and beyond."


From the Youtube description, in Kiswahili: 

Imetayarishwa na Haakneel Production wakishirikiana Wegos Works, ikiogozwa na Karabani, kuandikwa na Novatus Mugurusi.
C.P.U. Ni aina ya filamu ya kipelelezi yaani "Investigative story" ikiwa inazungumzia kitengo kilichoundwa kwa ajili ya kufuatilia na kutatua matatizo mbali mbali wakati jukumu lao la kwanza ni kufuatilia juu ya mtoto mchanga aliyeokotwa pasipo kufahamika ni wa nani. Hivyo Maria Isabela (Sauda Simba) anateuliwa na serikali kuongoza timu hiyo, katika hilo inabidi awashawishi watakao msaidia ambao ni Alex Kibera (Nkwabi Juma) jambazi suguanayetumikia kifungo cha miaka 30 jela, David Kifati (Steven Sandhu) mtaalamu wa kompyuta na kijana mwenye uelewa mkubwa ambaye anatoka katika familia bora na anayependa anasa.
Pia kuna Rehema Mlaki (Subira Wahure) akiigiza kama msichana anyefanya kazi ya uwakili wa kujitegemea. Wanaanza kazi ya kwanza ambayo kiujumla ni yenye misukosuko na inayohitaji umakini wa hali ya juu kwa kuwa ni ya hatari sana hasa wanapokabiliana na mtu kama Jibaba (Mobby Mpambala) mmiliki wa danguro kubwa hapa jijini na mzoefu wa biashara haramu.

The launch event, which promises to be remarkable, will be in late November. 

Are you going to be there? 

No comments: