Friday, August 30

Njoo uonyeshe kipaji chako cha Sauti!


Trinity Promotions inatafuta SAUTI MBALI MBALI ambazo zitaweza kutumiwa kwenye matangazo ya redio, video nk.

Kama unafikiri sauti yako inafaa na inaweza kukuletea kipato, njoo Mikocheni, Sept 1, 2013,  kati ya saa nne asubuhi na saa saba mchana. Tuma barua pepe HAPA.

Kwa waliokuwa tayari tu –

Tuma kwenye barua pepe yafuatayo:
  1.  Majina yako yote
  2.  Jinsia
  3.  Umri wako (kama upo chini ya miaka 18 utahitajika kuwa na idhini ya mzazi au mlezi)
  4. Taja uzoefu wako au kama ndio kwanza unajaribu
  5. Kama unaweza kufanya kazi za Kiswahil na Kiingereza
  6. Anuani yako ya barua pepe
  7. Simu yako


No comments: